Mkurugenzi wa Idara ya habari -MAELEZO Bw Clement Mshana(kushoto)akimkabidhi vitabu vyenye alama ya taifa Bw Olav Mkopi,Kiongozi wa vijana 11 wataoelekea nchini japan na kukaa kwa kipindi cha miezi 3 kushiriki mpango wa vijana wa meli ya kimataifa utakaowashirikisha vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Vijana kutoka tanzania watakaoshiriki kwenye mpango wa vijana wa meli ya kimataifa uliopangwa kufanyika nchini japan wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi Idara ya habari-MAELEZO Bw Clent Mshana(wa nne kushoto) na Mkurugenzi wa maendeleo ya vijana Bi Joyce Shaidi.Picha na Aron Msigwa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)