Mshauri wa kikao cha Jopo la Masheikh na Wanazuoni, Idd Simba(chini)akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu matamko yaliyotolewa katika kikao cha viongozi hao wa Dini ya Kiislamu, Dar es Salaam,ambapo waliwataka viongozi wa dini kuacha kuingilia masuala ya kisiasa na utawala wa nchi yanayoweza kuipeleka nchi pabaya. Kutoka kulia ni Katibu wa Jopo hilo,Sheikh Mohamed Mtulia,Mwenyekiti Sharif Hasim na Mohamed Idd(juu)ambaye ni Mratibu.Picha na Richard Mwaikenda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)