TAMWA NA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAENDA MAHAKAMANI KUPINGA DOWANS KULIPWA MABILIONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMWA NA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAENDA MAHAKAMANI KUPINGA DOWANS KULIPWA MABILIONI


MKURUGNEZI wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Kiwanga,akizungumza na waandishi wa habari, leo mjini Dar es Salaam, kuhusu uamuzi wa kwenda mahakama kuu kuzuia serikali kulipa Dowans mabilioni ya fedha kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Kimataifa ya Biashara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Chama Cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA)Ananilea Nkya. 
.......................
 
KITUO cha Sheria na Haki za Bianadamu (LHRC) kimeungana na baadhi ya wanaharakati kwenda Mahakama Kuu ya Tanzania jana, kuzuia amri ya Mahakama Biashara ya Kimataifa ya kutaka Tanesco ilipe Dowans Sh. bilioni 97.

Hatua hiyo ilitangazwa leo na Mkurugenzi wa kituo hicho, Francis Kiwanga katika mkutano na waandishi wa habari,katika Ofisi za kituo hicho,Kijitonyana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages