Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marahemu Blasius Ngowi nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar. Marehemu Ngowi ambaye alifariki dunia tarehe 01/01/2011 ni baba wa mfanyakazi wa Ofisi ya Bunge Bwana Sigfrid Blasius Ngowi.Mhe. Makinda akiomboleza pamoja na waombolezaji wengine katika msiba huo. Kushoto ni mwakilishi wa Ofisi ya Bunge Bw. Julian Malangu na kulia ni mtoto wa marahemu. Picha zote na mdau Prosper Minja wa Bunge
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)