KESI YA JERRY MURO YAHAIRISHWA LEO KISUTU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KESI YA JERRY MURO YAHAIRISHWA LEO KISUTU

 
Jerry Muro akitoka mahakamani leo asubuhi baada ya kesi kuahirishwa.

KESI ya kutaka kupokea rushwa ya shilingi milioni kumi inayomkabili aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha runinga cha taifa, TBC1, Jerry Muro, na wenzake katika mahakama ya Kisutu jijini Dar, imekwama kusikilizwa baada ya upande wa mashitaka kushindwa kumfikisha shahidi wake mahakamani hapo. Sababu nyingine iliyokwamisha kesi hiyo ni wakili wa utetezi, Majura Magafu, ambaye aliomba udhuru baada kupatwa na msiba.
PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages