HENNESSY HITTERS KUSHIRIKI MASHINDANO YA NDANI YA KRIKETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HENNESSY HITTERS KUSHIRIKI MASHINDANO YA NDANI YA KRIKETI




Wafanyabiashara wakubwa 15 wa Dar Es Salaam wameungana pamoja  kushiriki katika ligi ya mashindano ya ndani ya kriketi yatakayoanza mwishoni mwa mwezi wa kwanza. Wananchi wamealikwa kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti Hennesy Hitters inayoongozwa na Kepteni Kishen Savani,  katika mechi yao ya ufunguzi  itakyofanyika Jumatatu ya tarehe 31 mwezi huu, saa tatu usiku, viwanja vya Funkys Orbit (Masaki)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages