GARI la Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, likiwa na namba mbili tofauti za usajili, hali iliyozua maswali kwa wapita njia. Kamera yetu ililinasa gari hilo maeneo ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam leo mchana.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)