ABIRIA waliokuwa katika basi hili la kampuni ya ABS iliyokuwa ikisafiri kutoka Iringa kwenda Dar es Salaam,wakiwa nje ya basi hulo baada ya kuacha barabara katika harakati za kujinusuru kugongana na lori moja,eneo la Misugusugu,Barabara ya Morogoro, Kibaha mkoa wa Pwani.Picha na Diwani wa Kibaha,Mheshimiwa,Selina Wilson
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)