BALOZI WA MAREKANI USO KWA USO NA RAISI JAKAYA KIKWETE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI WA MAREKANI USO KWA USO NA RAISI JAKAYA KIKWETE


Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha na baadaye kufanya naye mazungumzo Balozi wa Marekani hapa nchini Mheshimiwa Alfonso Lenhardt  ikulu jijini Dar es Salaam Jana
 Rais Jakaya Kikwete akibadilishana Mawazo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mheshimiwa Alfonso Lenhardt  ikulu jijini Dar es Salaam Jana Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages