Naibu Wazir wa Mawasiliano,Sayansi ns Teknologia Mh.Charles Kitwanga akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa mkutano wa 10 wa Mwaka wa Watangazi Jijini Dar es Salaam Leo
Viongozi wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknologia wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh Charles Kitwanga wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 10 wa Mwaka wa Watangazaji
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Bi Rehema Makaburi akizungumza na watangazaji hawapo Pichani wa jumuiya ya afrika mashariki na nchi za SADC wakati wa mkutano wa 10 wa Mwaka wa Watangazaji leo Jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Itenda -MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)