WANAFUNZI WA AIRWING WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA AIRWING WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM LEO

Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiwafafanulia habari mbalimbali zilizoandikwa kwenye gazeti la Vodaworld na kugawiwa bure hapa nchini na nje ya nchi, kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya secondari ya Saint Anthony na Airwing za jijini Dares salaam walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali.
Afisa Ustawi wa Vodacom Tanzania Ndihagati Biduga ,akiwafafanulia jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya secondari ya Saint Anthony na Airwing za jijini Dares salaam namna ya kutumia huduma ya internent ya 3G.walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali.
Afisa Ustawi wa Vodacom Tanzania Ndihagati Biduga, akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya secondari ya Saint Anthony na Airwing za jijini Dares salaam jinsi ya huduma ya M Pesa inayotolewa na kampuni hiyo inavyofanya kazi mara walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages