Pichani ni Kina Mama wajasiliamali wa kariakoo.Dar es salaam ambao hawajajulikana majina yao mara moja wakiwa wamemkunja/Mshika kwa ajili ya kumfikisha kituo cha polisi msimbazi mtu ambaye alitaka kuwataperi mali yenye thamani ya milioni kumi dukani kwao mtaa wa tandamti Jijini Dar es Salaam jana.Picha na Mdau Rajabu Mhamila
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)