Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF,Julius Mtatiro,Akiongea na Waandishi wa Habari muda mfupi baada ya Kufanikiwa kuingia barabarani na kuwasilisha rasimu yao ya katiba kama walivyopanga kwenye Wizara ya Katiba na Sheria Jijini Dar es Salaam hapo jana.Hata hivyo maandamano hayo yaliyoanzia Buguruni Sheli hayakuanza saa 2:00 asubuhi kama yalivyopangwa kutokana na mvutano ulioibuka baina ya waandamanaji hao na polisi wenye ambao walifika ofisini hapo kuwadhibiti.
Pichani Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Julius Mtatiro akisindikizwa na Wana Usalama Muda mfupi baada ya kutinga wizxara ya katiba na sheria Jijini Dar es Salaam jana kupeleka pendekezo lao la kudai katiba Mpya.Picha zote na Mdau Mpoki Bukuku
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)