MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA KNIGHT SUPPORT ALIPOTISHIA KUONDOKA KIKAONI KWA GHADHABU MBELE YA WAZIRI SHAMSI VUAI NAHODHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA KNIGHT SUPPORT ALIPOTISHIA KUONDOKA KIKAONI KWA GHADHABU MBELE YA WAZIRI SHAMSI VUAI NAHODHA


 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support,David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Jenerali Matwani Kapamba (kushoto)kumueleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha(wa pili kulia)kuhusu kampuni yake,wakati waziri huyo alipotembelea kampuni hiyo ikiwa ni sehemu yake ya ziara kwa kampuni mbalimbali binafsi za ulinzi na uokoaji,Dar es Salaam.
Picha na Fadhili Akida

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages