MAKAURI KANDO KANDO YA BARABARA YA IRINGA YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAKAURI KANDO KANDO YA BARABARA YA IRINGA YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA LEO

Fuvu la kichwa la marehemu Martine Kiyeyeu mkazi wa kijiji cha Mlolo kata ya Mseke wilaya ya Iringa vijijini likitolewa kaburini Mabaki ya mwili wa Kiyeyeu yakiwekwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa upya baada ya eneo la awali kuchimbwa kaburi lake ili kupisha upanuzi wa barabara kuu ya Iringa -MbeyaJumla ya makaburi nane ndio ambayo yameondolewa katika eneo hilo na hakuna tukio lolote la ajabu lililopata kujitokeza pamoja na kuwepo kwa maneno mengi toka eneo hilo. Picha na mdau Francis Godwin.

Ankal alitembelea eneo hili mwezi wa Septemba,
kabla ya makaburi kuhamishwa.
Habari Kwa Hisani Ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages