Lady Jay Dee akionesha maji ya kunywa ambayo yana jina lake yanayotolewa na Mohamed Enterprises Limited, akiwa ni msanii wa kwanza kupata endorsement ya aina hiyo nchini. Hafla hii imefanyika jana katika hoteli ya Paradise City jijini Dar. Akiongea na waandishi katika hafla hiyo Jay Dee pia aliweka wazi mipango yake kwa mwaka 2011 ikiwa ni pamoja na kufungua mgahawa uitwao 'Nyumbani Lounge' karibu na Best Bite Restaurant maeneo ya Ada Estate pamoja na kutoa albamu yake ya tano.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)