KILIMANJARO STARS BINGWA MPYA WA TUSKER CHALLENGE CUP - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILIMANJARO STARS BINGWA MPYA WA TUSKER CHALLENGE CUP

Shadrack Nsajigwa Nahodha wa Timu Ya Kilimanjaro Stars Akiwa Uwanjani.Ndie aliyeipatia Timu ya Kilimanjaro Stars Bao Pekee Lililopelekea Kuchukua Kombe la Tuskers Challenge Cup 2010 kwa Mkwaju wa Penati
Nahodha wa Kilimanjaro Stars,Shadrack Nsajigwa akiipatia timu yake bao la kuongoza kwa mkwaju wa penati na kufanya matokeo kuwa 1-0 hadi dakika ya mwisho wa mchezo.
Kikosi cha Kilimanjaro Stars kilivyopangwa leo
Kikosi cha ivory Coast
Big Screen likirusha live huku umati mkubwa ukishuhudia mchezo wa leo.
Washabiki wa Kilimanjaro Stars wakishangilia goli lililofungwa na Shadrack Nsajigwa.
Mchezaji Wa Kilimanjaro Stars Stefani Mwasikia Akimchomoka Mchezaji Wa Ivory Coast kwenye mchezo uliopigwa Jioni Ya Leo.
Baadhi Ya Mashabiki Wakimfikishia Ujumbe Maximo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages