KILIMANJARO STARS KUVAANA NA IVORY COAST KWENYE FAINALI ZA TUSKER CHALLENGE CUP LEO TAREHE 12 DEC 2010 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILIMANJARO STARS KUVAANA NA IVORY COAST KWENYE FAINALI ZA TUSKER CHALLENGE CUP LEO TAREHE 12 DEC 2010

Kikosi cha Kilimanjaro Stars
Kikosi cha Ivory Coast.

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara "Kilimanjaro Stars" leo inajikita tena katika wanja la neshno kusaka ubingwa wa Afrika Mashariki na kati kwa kukipiga na timu ya Taifa ya Ivory Coast.

Hivyo wadau woote tunapaswa kuiombea timu yetu hii ili iweze kuchukua ubingwa huu.

Kilimanjaro Stars ambayo imeweza kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mashindano haya ya CECAFA katika mechi zake zote ilizocheza,leo timu yetu hii inakipiga katika fainali na timu Ivory Coast ili kuwania ubingwa huo.

Hivyo basi tunaombwa kujitokeza kwa wingi ili kuipa sapoti timu yetu hii.

Mungu Ibariki Kilimanjaro Stars...

Mungu Wabariki wachezaji wote wa timu hii...

Mungu Ibariki Tanzani...

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages