Mkuu wa shule ya sekondari ya Ismila katika wilaya ya Iringa vijijini Pangras Msasamela amekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa vibaya huku abiria zaidi ya 40 wakinusurika kifo baada ya basi la Hekima lenye namba za usajili T 399AVU linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam -Mbeya kugongana uso kwa uso na gari ndogo yenye namba T 746 AKU Toyota Mark II leo
Ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika eneo la Kibwabwa Manispaa ya Iringa wakati basi hilo la Hekima likiwa safarini kuelekea mkoani Mbeya.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Evarist Mangalla amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuwa mtu mmoja ndiye aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.Picha na Habari na Mdau Francis Godwini

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)