WAZIRI MKUU PINDA ALA KIAPO LEO DODOMA CHAMWINO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

WAZIRI MKUU PINDA ALA KIAPO LEO DODOMA CHAMWINO


DSC_1947asMh Mizengo Kayanza Peter Pinda Akila Kiapo Leo Ikulu Ndogo Chamwino Mkoani Dodoma.DSC_1955Raisi Jakaya Mrisho Kikwete Akimpongeza Waziri Mkuu Mh Mizengo Peter Baada Ya Kumwapisha DSC_1973Waziri Mkuu Akiwa katika Picha Ya Pamoja na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Wa Raisi Dkt Bilal, pamoja na Mawaziri wakuu Wastaafu.Edward Lowasa, Fredrick Sumaye na Mzee Malecela DSC_1991Viongozi Wakuu Wa Serikali Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Wakiwa Pamoja Katika Ikulu Ndogo Chamwino Mkoani Dodoma Mara Baada ya Kumwapisha Mh Mizengo Peter Kuwa Waziri Mkuu. Leo Jioni Raisi Jakaya Kikwete Atalihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages