Wafukiwa na Kifusi Wakati wa Kuchimba Madini
Baadhi ya Askari Polisi wa Mkoa wa Morogoro wakishusha miili ya watu watatu kati ya sita waliofariki dunia kwa ajili ya kuhifadhiwa Chumba cha Maiti cha Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kufukiwa na kifusi wakati wa kuchimba madini ya dhahabu,eneo la Kitongoji cha Mbarangwe, Kata ya Tununguo,Tarafa ya Ngerengere, Wilayani Morogoro Nov 19
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)