Waheshimiwa Mbalimbali Wajitokeza Kwenye Show ya Lady Jaydee na Machozi Band Royal Village Dodoma
Lady Jaydee akiwa katika picha ya pamoja na mheshimiwa Zitto zuberi kabwe Mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) na mdau nambari wani wa machozi band
Mkuu wa Mkoa wa Dr es Salaam na Mbunge wa ismalia Mh.Lukuvi na kulia ni Mr.Omar mmiliki wa Studio ya picha ya Images 4 U na muandaaji wa onyesho la Machozi Band lililofanyika Royal Village wakiwa katika picha ya pamoja na lady jaydee
Sehemu ya wadau wa machozi band wakilisakata rhumba kisawasawa.Picha na Lady Jaydee
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)