MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAAPISHWA IKULU JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAAPISHWA IKULU JANA


Naibu Waziri wa Ujenzi Mh. Harrison Mwakyembe
na familia yake baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar Jana

Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja
(wa pili kulia) akiwa na familia baada ya hafla ya kuapishwa


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na msajiri wa vyama vya Siasa


Wadau waliohudhuria sherehe hizo wakipiga picha ya pamoja

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal
akimpongeza Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta

Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na
baadhi ya wanafamilia

Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Philemon Luhanjo (kati)
akiwa na baadhi ya mawaziri wapya

Mawaziri baada ya kula kiapo

Waheshimiwa mawaziri baada ya kuapishwa

Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Maghufuli, Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia, Mh Charles Kitwanga 'Mawe Matatu' , Waziri wa nyumba na makazi Profesa Anna Tibaijuka na Waziri wa Uchukuzi Dk. Omar Nundu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages