Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Aanza Kazi Rasmi Leo
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal,akisaini katika kitabu baada ya kuwasili kwenye Ofisi yake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais,Ruth Mollel.
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal,akisaini katika kitabu baada ya kuwasili kwenye Ofisi yake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais,Ruth Mollel.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi Makamu wa Rais (Mazingira),wakati alipofika ofisini hapo kusaini kwa mara ya kwanza na kuanza kazi rasmi leo Nov 08. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais,Ruth Mollel
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais,Ruth Mollel,wakati alipokuwa akimuonyesha jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais linaloendelea kujengwa wakati Makamu wa rais alipofika kuripoti ofisini leo Nov 8.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel,wakati alipokuwa akimuonyesha jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais linaloendelea kujengwa wakati Makamu wa rais alipofika kuripoti ofisini leo Nov 8.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)