ZITTO AKIWA MJINI MUSOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZITTO AKIWA MJINI MUSOMA

Mgombea Ubunge kwa chama cha CHADEMA,Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa Kata ya Nyamatare Musoma mjini jana ikiwa ni sehemu yake ya kuwanadi wagombea wa chama chake,hapa alikuwa ndani ya jimbo la Musoma Mjini ambapo Vincent Nyerere anagombea jimbo hilo.
Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA,Bw.Vincent Nyerere akijinadi kwa wananchi jana jioni Katika Kata ya Nyamatare,jimbo la Musoma Mjini.
Mgombea Ubunge kwa chama cha CHADEMA,Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akimnadi Mgombea Ubunge katika Kata ya Nyamatare jimbo la Musoma Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA,Bw.Vincent Nyerere akijinadi kwa wananchi jana jioni.

kwa picha zaidi bofya hiyo link hapo chini.

http://zittokabwe.wordpress.com/

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages