KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JANA USIKU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JANA USIKU

JK akiongea na waandishi wa habari usiku huu
katika ukumbi wa Arnautoglou hall jijini Dar
JK akiongea na waandishi na wageni waalikwa katika mkutano huo
Suzan Mongi wa TBC One akimpiga swali JK
JK akisalimiana waliohudhuria mkutano huo
JK akiwashukuru watangazaji wa vituo mbalimbali vya TV waliokuwa wakimhoji
JK na mgombea mwenza wake Dk. Mohamed Ghalib Bilal baada ya mkutano
baadhi ya waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi mkongwe wa Arnautoglou
waandishi na wageni waalikwa wakimsikiliza JK akijibu maswali
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo
baadhi ya wahariri wakimsikiliza JK
Fundi mkuu wa Clouds TV Mehboub al Hadad akiwa
mitamboni ambapo kituo hicho na vingine vilirusha mkutano huo moja kwa moja. JK alikuwa akijibu maswali yaliyoulizwa na wawakilishi wa vyombo vya habari na kuratibiwa na Bi. Asha Mtwangi, ulihusisha vituo tisa vya televisheni vikiwemo ATN, Channel 10, East Africa TV, TBC, TV Milimani, Clouds TV, Star TV na ITV.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages