HATIMAYE KAMPUNI YA GOOGLE YATENGENEZA GARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HATIMAYE KAMPUNI YA GOOGLE YATENGENEZA GARI

Tazama Video hii ya Gari la Google Linalojiendesha lenyewe
Kampuni ya Google ambayo inamiliki searching engine ya www.google.com., www.google.co.tz imetengeneza gari ambalo linjiendesha lenyewe katika barabara za mjini na cha kushangaza kwenye gari hili linatoa tahadhari kwa waenda kwa miguu kwa kuto sauti ya kike na ikifika kwenye traffic lights yenyewe inasimama. Gari hili lina kamera ambayo ipo juu ya gari lenyewe na kamera hizo uwasiliana mja kwa moja na satelite mbayo uiongoza.
     Gari hili halijaanza kuuzwa sehemu yoyote ile duniani bali lipo kwenye majaribio nchi Marekani .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages