Dr Slaa Akiwa Monduli Kwenye Kampeni Za Lala Salama - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dr Slaa Akiwa Monduli Kwenye Kampeni Za Lala Salama

Mgombea Uraisi Kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Jana alifanya Mkutano wake Katika Jimbo la Monduli.Na Waliokua wana wa CCM 47 Jana waliweza Kusilimishwa na Dr Slaa na kuhamia CHADEMA
Hao ni baadhi ya waliokua wana CCM walipokua wanakabidhi  kadi za CCM kwa mgombea Uraisi wa CHADEMA.Dr Willbroad Peter Slaa.
Dr Slaa akiwa anahutubia wana Monduli Jana katika mkutano wake wa kampeni Monduli.



Dr Slaa akiwa na Kadi za CCM zilizorudishwa na waliokuwa wanachama wa CCM Monduli hapo Jana.



No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages