Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia), akiteta jambo na Mwakilishi wa Bongo Movie, Devota Mbaga, wakati wa semina hiyo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akichangia mada ya ‘Ukimwi na Vijana’, mara baada ya kuifungua semina ya wasanii katika kuadhimisha Siku ya Ukimwi duniani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation kwa uratibu wa Kampuni ya Motage, Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Dk. Ellen Mkondya, Mwakilishi wa Bongo Movie, Devota Mbaga (kulia) na msanii wa maigizo, Aisha Amani ‘Walonge’.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)