WITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WATOTO KUJIFUNZA GOFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WATOTO KUJIFUNZA GOFU

Mwalimu wa Gofu kwa watoto wadogo klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam Bw. ClaudeNkawamba akimfundisha Vanessa Nkurlu (7) mchezo huo. Mwalimu huyo alitoa wito kwa wazazi wakitanzania kuwapeleka watoto wao kujifunza mchezo huo.
 Mtoto mwanafunzi wa Gofu Vanessa Nkurlu (7) akiangalia mpira aliyeupiga ukielekea katika shimo la pili katika uwanja wa klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam.
 Vanessa Nkurlu (7) akielekeza mpira katika shimo huku Mwalimu wake wa Gofu kwa watoto wadogo Bw. Claude Nkawamba  akimtizama katika klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam.
Amani Nkurlu akijiandaa kupiga mpira wa gofu katika uwanja wa klabu ya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia ni Mwalimu wa Gofu Bw. Claude Nkawamba na mwanafunzi wa gofu Vanessa Nkurlu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages