USAJILI WA BALE: BAADA YA JANA KUANZA KUUZA JEZI ZAKE - LEO HII REAL MADRID WAANZA KUTENGENEZA JUKWAA LA KUMTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

USAJILI WA BALE: BAADA YA JANA KUANZA KUUZA JEZI ZAKE - LEO HII REAL MADRID WAANZA KUTENGENEZA JUKWAA LA KUMTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA

article-2400826-04F7853000000514-559_634x466
Gareth Bale anakaribia kutua Real Madrid
BSW25jqIgAAKTWM
Ujeniz wa jukwaa kubwa la kutambulishia wachezaji wakubwa wanaosajiliwa na Real Madrid ukiendelea mapema jana mchana. Inaaminika Real Madrid wapo katika hatua za mwisho za kumsajili Gareth Bale kwa ada ya uhamisho wa £94m ambayo itakuwa rekodi mpya ya dunia baada ya ile £80m waliyolipa Madrid kumsajili Cristiano Ronaldo kutoka Manchester United miaka minne iliyopita.
article-2401019-059DAF86000005DC-947_634x343
Miaka minne iliyopita Cristiano Ronaldo alikuwa mtu wa mwisho kupita juu ya jukwaa hili - na kama habari zilizopo ni za kuaminika basi Gareth Bale akiwa na jezi yake namba 11 atakuwa mchezaji mwingine kutoka ligi kuu ya Uingereza kupanda kwenye jukwaa ndani ya uwanja wa Santiago Bernabeu ndani ya siku chache zijazo

BSW3fY9CcAE8LT0

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages