MBIO ZA BAISKELI KURINDIMA KESHO MKOANI SHINYANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MBIO ZA BAISKELI KURINDIMA KESHO MKOANI SHINYANGA

Katibu wa chama cha Baiskeli Kanda ya Ziwa(KAMWASHI), John Elisha akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Baikeli Kandaya ya Ziwa yanayojulikana kwa “Safari Bike Race” yanayotarajiwa kufanyika kesho Mkoani Shinyanga wakati wa kusherehekea sikukuu ya Nane nane.kutoka kulia ni Mratibu wa mashindano hayo,Peter Zacharia,Meneja matukio Kanda ya Ziwa TBL,Erick Mwayela,Meneja mauzo Syanyanga TBL,Robert Michae na Mwenyekiti wa chama hicho, Elisha Elias.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages