Serikali yafunga kiwanda cha nondo cha Metro cha jijini Dar es Salaam kutokana na kuzalisha nondo zisizo na viwango vya ubora vinavyotakiwa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Serikali yafunga kiwanda cha nondo cha Metro cha jijini Dar es Salaam kutokana na kuzalisha nondo zisizo na viwango vya ubora vinavyotakiwa

Inspekta wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Yona Afrika  akizugumza  na Meneja wa Kiwanda cha nondo cha Metro cha  jijini Dar es Salaam, Onesmo Ngondo mara baada ya TBS  kukifungia kiwanda hicho kwa muda usiojulikana , kutokana na kuzalisha nondo  zisizo na  viwango vya ubora vinavyotakiwa. Picha na Beatrice Moses

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages