Fid Q, Ney Wamitego wafunika Tamasha la Airtel YATOSHA COCO Beach Jana, mwisho mwa wiki hii Tamasha kuamia chalinze - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Fid Q, Ney Wamitego wafunika Tamasha la Airtel YATOSHA COCO Beach Jana, mwisho mwa wiki hii Tamasha kuamia chalinze

Msanii wa kizazi kipya Faridi kubanda maarufu kama Fid Q akitumbuiza wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
 MC  shabani Rugage aka Kidevu cha kuku na MC Aloyce aka  Adam wakifanya vitu vyao jukwaani wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
 Kundi la sarakasi la la jijini Dar es salaam likitoa burdani  kwa maelfu ya watanzania waliohudhuria tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
 Kundi la Kinoko........ likitoa burudani wakati wa wa Tamasha la Airtel yatosha Yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
 Umati wa watu  waliohudhuria tamasha la Airtel yatosha jijini Dar es saalam wakipata burudani huku wakishika mabango ya kuwashangilia wasanii mahiri wa kizazi kipya katika tamasha la Airtel yatosha Fid Q alionekana kung'ara zaidi
 Msanii wa kundi la Tip top connection Tunda man  akitoa burudani  kwa wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki
 Msanii wa kizazi kipya Faridi kubanda maarufu kama Fid Q akitumbuiza wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach mwishoni mwa wiki
 Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki
Msanii wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop maarufu kama  Ney wa Mitego  akimwaga burudani kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages