RAMBI RAMBI KUTOKA UJERUMANI KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAMBI RAMBI KUTOKA UJERUMANI KUFUATIA KUANGUKA KWA JENGO DAR


download+%281%29
Umoja wa Watanzania Ujerumani umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kuanguka kwa jengo mjini Dar es Salaam.
tunawapa pole nyingi ndugu na jamaa wa waliopoteza maisha, Umoja Wa Watanzania Ujerumani unaungana na watanzania wote pamoja wafiwa katika maombolezi ya msiba huu mkubwa.

Tunawaombea marehemu wote mungu awaweke mahala pema peponi AMIN

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages