Spika Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Spika Makinda apokea ripoti ya Mapendekezo kuhusu Mapato na Matumizi ya Serikali

aMwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao kabla ya kumkabidhi Spika wa Ofisini kwake Bungeni jana
bMwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa  Bunge  Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo ya kodi
cSpika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
dSpika wa  Bunge  Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo ataiwasilisha serikalini. Picha na Owen Mwandumbya

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages