TAMKO RASMI KUTOKA KWA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA GAZETI LA MWANANCHI KUANDIKA KWAMBA AMEIPONDA SAFU YA UONGOZI NA SEKRETARIATI YA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TAMKO RASMI KUTOKA KWA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA GAZETI LA MWANANCHI KUANDIKA KWAMBA AMEIPONDA SAFU YA UONGOZI NA SEKRETARIATI YA CCM

 Askofu Method Kilaini Bukoba Catholic Diocese
---
Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo. Askofu Kilaini

Askofu Method Kilaini
Bukoba Catholic Diocese

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages