RPC KIGOMA AWAPA MAKOTI MAALUMU WAENDESHA BODABODA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

RPC KIGOMA AWAPA MAKOTI MAALUMU WAENDESHA BODABODA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Frasser Kashai akimvalisha Koti maalumu (Reflector Jacket) Mwendesha Pikipiki wakati wa Hafla fupi ya Makabidhiano ya Makoti hayo ambapo waendesha Pikipiki 350 kutoka vijiwe 15 vya Waendesha Pikipiki Katika Wilaya ya Kigoma walikabidhiwa kwaajili ya kukabiliana na ajali za barabarani .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Frasser Kashaiakimvalisha koti mmoja wa waendesha piki piki(Reflector Jacket)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Frasser Kashai akiongea na waendesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda  wakati wa Hafla fupi ya Makabidhiano ya Makoti maalumu ya kuwatambua ambapo waendesha Pikipiki 350 kutoka vijiwe 15 vya Waendesha bodaboda Katika Wilaya ya Kigoma walikabidhiwa kwaajili ya kukabiliana na ajali za barabarani .Picha Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Kigoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages