Katibu Mkuu Mpya wa CCM Abdulrahman Kinana Aripoti Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Katibu Mkuu Mpya wa CCM Abdulrahman Kinana Aripoti Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam, aliporipoti rasmi kazini kwenye ofisi hizo leo asubuhi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, aliporipoti leo ofisini, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkromo-Itikadi na Uenezi,-CCM

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages