MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA AKINA MAMA WAJASIRIALIAMALI KUTOKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA AKINA MAMA WAJASIRIALIAMALI KUTOKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa akina Mama Wajasiliamali kutoka Nchi za Ukanda wa Afrika, uliofanyika leo Oktoba 22, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, ukiwa ni mkutano wa kwanza kufanyika nchini Tanzania. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages