LUKAZA EXCLUSSIVE: SEIF KABELELE AWA MENEJA MPYA WA MWANAMUZIKI WA RNB NCHINI TANZANIA STEVE RnB - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

LUKAZA EXCLUSSIVE: SEIF KABELELE AWA MENEJA MPYA WA MWANAMUZIKI WA RNB NCHINI TANZANIA STEVE RnB

Huyu ndie meneja mpya wa Mwanamuziki Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
 Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue.

 Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya anaitwa Seif Kabelele.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages