AGAPE TELEVISHEN NETWORK YAZINDUA HUDUMA YA MOBILE TV - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AGAPE TELEVISHEN NETWORK YAZINDUA HUDUMA YA MOBILE TV

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Patrick Makungu akitoa hotuba wakati wa kusherehekea miaka 11 ya kituo cha televisheni cha ATN zilizofanyika jana sherehe hizo zilienda sambamba na uzinduzi wa kipindi cha kwa nini? pamoja na uzinduzi wa mobile TV ambapo huduma hii mtu anaweza kuipata kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa (www.atnplay.com) kuangalia vipindi mbalimbali vya ATN vinavyorushwa na televishe ya AGAPE LIFE CHURCH uzinduzi huo ulifanyika katika kanisa la Agape jijini Dar es salaam jana.
Mmliki wa kituo cha Televishen Agape Bw.Vernon Fernandes kushoto pamoja na mkewe wakikata keki wakati wa kusherekea miaka 11 ya ATN  wa nne kulia ni mbunge wa kawe Mhe Halima Mdee(wa kwanza kulia mliki wa kituo cha WAPO  Redio Bw Silvestre Gamanywa
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick Makungu (wa tatu kutoka kushoto)akibonyeza kitufe kwenye simu kuashiria uzinduzi mobile TV  kushoto ni  mliki wa kituo cha WAPO Redio Bw Silivestre Gamanywa kushoto.mbunge wa kawe Mhe Halima Mdee wakishuhudia uzinduzi huo
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick Makungu akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzindua huduma hiyo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages