WADAU SASA WAKO MSAMVU KWA MAKUTI MJINI MOROGORO - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » WADAU SASA WAKO MSAMVU KWA MAKUTI MJINI MOROGORO

Tayari Wadau wa Tukuyu Star Family wameshawasili hapa Msamvu kwa Bi Mkora wa Maggid Mjengwa mjini Morogoro wanapata chakula cha mchana kabla ya kuendelea na safari yao kuelekea Tukuyu Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la kufufua timu ya Tukuyu Star kesho mjini Tukuyu.
Kocha Keny Mwaisabula Mzazi ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tukuyu Star Family akipata menyu yake kushoto kwa ke ni mchezaji wa zamani Willy Martin na wadau wengine.
Wadau wakiendelea kupata Menyu katika hoteli ya Makuti Msamvu mjini Morogoro.
Kutoka kulia ni Mdau Edward Mwakajinga, Moses Mkandawile na Peter Mwambuja wakisubiri kupata menyu yao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)