Taasisi ya Project Hope ya Marekani yakabidhi Msaada wa Dawa Hospital Ya Mnazi Mmoja Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Taasisi ya Project Hope ya Marekani yakabidhi Msaada wa Dawa Hospital Ya Mnazi Mmoja Zanzibar

 MKURUGENZI Kanda ya Afrika na Ulaya wa Taasisi ya Project Hope ya Marekani, Katerina Takovska (kulia) akimkabidhi msaada wa vifaa vya hospital pamoja na madawa vyenye thamani ya dola milioni moja ($1.1ml) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Dk.Sira Ubwa Mamboya makabidhiano hayo yalifanyika katika bohari kuu la Madawa Mnazimmoja mjini Zanzibar.
 KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar, Saleh Mohammed Jidawi (katikati) akiangalia tarehe ya kumaliza muda msaada wa madawa waliopewa na Taasisi ya Project Hope ya Marekani kulia Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Dk.Sira Ubwa Mamboya na msaidizi mkurugenzi kanda ya Afrika na ulaya, mshauri mwandamizi wa masuala ya Afya , Dalibor Tasevski wakiwa katika bohari kuu la madawa mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Dk.Sira Ubwa Mamboya akitoa salaam  za shukrani muda mfupi baada ya kupokea misaada hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages