Mchezaji Mrisho Ngassa Atua Simba Sc na Kuungana na Wachezaji Wenzake Wa Simba Mazoezini - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » Mchezaji Mrisho Ngassa Atua Simba Sc na Kuungana na Wachezaji Wenzake Wa Simba Mazoezini

 Karibu Ngassa tufanye kazi, maisha menyewe mafupi mshikaji"Kaseja",Ngassa hakuna shaka nimekaribia swaiba. 
 Aliyekuwa mchezaji  wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake aliyokabidhiwa jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach kwa kuungana na wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya Azam,Simba na yeye kumalizika.Picha na Mdau Machellah

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)