MAANDAMANO YA CHADEMA MOROGORO MMOJA AFA NA KADHAA WAJERUHIWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAANDAMANO YA CHADEMA MOROGORO MMOJA AFA NA KADHAA WAJERUHIWA



 Huyu ni Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu Morogoro akiwa hajitambui baada ya kutandikwa risasi na Polisi wakati wa vurugu za kuzuia maandamano ya chadema leo. 
 
Mtu mmoja anadaiwa kufa kwa kupigwa risasi Kichwani huku wengine kadhaa wakijeruhiwa vibaya kwa Risasi za moto baada ya Polisi wa kutuliza ghasia kuwarushia Risaasi za moto na mabomu ya machozi waandamani wa Chadema mjini Morogoro leo.

Baadhi ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Morogoro wakiongozwa na polisi baada ya kuwatawanya walipokuwa wakifanya maandamano maeneo ya Msamvu mjini Morogoro mchana wa leo. Polisi walitibua maandamano hayo kwa mabomu ya machozi kwa kile kilichoelezwa kuwa mkutano huo kutokuwa rasmi.Picha kwa hisani ya Father Kidevu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages