Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Chasitisha Mgomo Nchi Nzima - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Chasitisha Mgomo Nchi Nzima

 Rais Chama cha Walimu nchini (CWT) Mwl. Gratian Mukoba akitoa taarifa ya chama hicho
--
UONGOZI wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), umesitisha mgomo uliokuwa unaendelea nchini, hivyo kuwataka walimu kurejea kazini.
Rais wa chama hicho, Mukoba amesema wameamua kusitisha mgomo, baada ya kuingiwa na hofu ya viongozi wao wa juu kuhofiwa kukamatwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)