BREAKING NEWS: ROMA APATA AJALI MBAYA NA GARI MOROGORO ROAD - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING NEWS: ROMA APATA AJALI MBAYA NA GARI MOROGORO ROAD

Msanii wa Bongo fleva Roma Mkatoliki amepata ajali mbaya ya gari Morogoro road ambapo kwa mujibu wa djchoka.blogspot.com ni kwamba tairi la mbele lilipopasuka na gari likaacha njia na kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma kurudi lilipotokea.  Roma amemuambia Dj Choka kwamba anaelekea hospital kwa check up zaidi ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima. Roma amepata ajali hii leo ikiwa ni siku 18 tu toka msanii mwingine wa bongofleva Chege kupata ajali ya gari yake kwa kumgonga mtu wa pikipiki alieingia barabarani ghafla na kusababisha gari kuharibika.
           Picha zote Kwa Hisani ya djchoka.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages