Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai
23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said
Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said
Arfi na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma July 23,2012.Picha naOfisiya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)