Tamasha La Chagga Day 2012 Lafanyika Jana Leaders Club - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tamasha La Chagga Day 2012 Lafanyika Jana Leaders Club

Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika   viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana.
wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages